Kache ya Firefox kwa muda huhifadhi picha, maandiko na sehemu nyingine za tovuti unazotembelea ili kuharakisha uzoefu wako wa kuvinjari. Makala hii inaelezea jinsi ya kufuta kache.
- Kufuta historia yako (yaani kuki, historia ya kuvinjari, Kache, nk) kwa jumla moja, angalia Futa kuvinjari, kutafuta na kushusha historia juu ya Firefox.
Table of Contents
Futa kache
- Bofya kifungo cha orodha na uchague
- Chagua .
- Bonyeza kwenye tabo ya Network.
- Katika sehemu ya Cached Web Content, bonyeza
- Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
Futa kache moja kwa moja
Unaweza kuweka Firefox moja kwa moja kufuta kache wakati Firefox inapofunga:
- Bofya kifungo cha orodha na uchague
- Chagua paneli ya .
- Katika sehemu ya History, weka Firefox will: kwa Use custom settings for history.
- Chagua kisanduku tiki kwa Clear history when Firefox closes.
- Kando Clear history when Firefox closes, bonyeza kifungo . Dirisha la mazingira kwa ajili ya Kufuta Historia itafungua.
- Katika dirisha la mazingira kwa ajili ya Kufuta Historia, weka kisanduku tiki karibu na Cache.
- Kwa habari zaidi juu ya nyinginechaguomapendeleo, angalia Delete browsing, search and download history on Firefox.
- Bonyeza kufunga dirisha la mazingira kwa ajili ya Kufuta Historia.
- Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
Dokezo: Kuna baadhi ya nyongeza zinazopatikana ambazo zitakuwezesha kufuta cache kwa kutumia ikoni kwenye toolbar yako. Nenda kwa Mozilla Tovoti ya Add-ons kutafuta.