Wakati anapojibu ujumbe, baadhi ya watu hupenda kuongeza maoni yao juu ya ujumbe wa awali, wakati wengine wanapendelea kuongeza maoni yao baada ya ujumbe wa awali. Thunderbird inaweza kubinafsishwa kuweka mshale wa uhariri juu au chini ya ujumbe wa awali.
Msimamo wa mshale inategemea Muundo na mazingira kwa ajili ya akaunti. Ili kupata mazingira haya, chagua
.
Wakati unapojibu ujumbe, umshale wa uhariri moja kwa moja huwekwa chini ya ujumbe wa awali.
Kama utabadilisha muundo na mazingira kwa
, mshale itaingizwa juu ya maandishi ya awali.