Maalamisho hayasawazishwi juu ya Firefox kwa iOS

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Upatanishi wa maalamisho unakuja katika Firefox kwa iOS. Tegea tu.

Maalamisho upatanishi inakuja kwa Firefox kwa iOS. Wakati huo huo, Akaunti Firefox unaweza kusawazisha historia yako ya kuvinjari ili maeneo yako ya yanayotembelewa kuonekana kwenye skirini ya nyumbani (au Awesome Screen).

top sites on firefox ios

Tazama Sync bookmarks, logins and browsing history on FIrefox for iOS kujifunza jinsi ya kuwekaa Akaunti ya Firefox kwenye kifaa chako iOS.

Njia Mbadala

Iwapo unapendelea kupata alamisho zote zilizohifadhiwa kwenye vifaa vingine, jaribu kusafirisha kwenda katika orodha ya HTML orodha kwenye kifaa chako:

  1. Kuuza nje alamisho zako za desktop kwa faili ya HTML. Chagua kutoka maelekezo yafuatayo:
  2. Weka faili hiyo ya HTML katika huduma ya kuhifadhi winguni kama Dropbox, Box . Com au mwenyeji wa au mhuduma ya uchaguzi wako.
  3. Open that HTML file on Firefox for iOS just like you would open any other web page. Your bookmarks will appear as a list of links.
  4. Fungua faili hhiyo ya HTML kwenye Firefox kwa iOS kama unavyofungua kurasa za mtandao nyingine. Maalamisho yako itaonekana kama orodha ya viungo.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More