Hii ni orodha ya njia za mkato za keyboard katika Mozilla Firefox. Kama umewezeshwa njia za mkato za Emacs-style katika GNOME, zitafanya kazi pia katika Firefox. Wakati uhariri wa Emacs inapitana na njia za mkato mkato za msingi (kama inavyotokea na Ctrl + K), mikato za Emacs zitachukua nafasi ya kwanza kama imelengwa ndani ya boksi maandishi (ambayo itakuwa ni pamoja na baa la eneo na la utafutaji) . Katika kesi hiyo unapaswa kutumia njia ya mkato mbadala ya keyboard ikiwa moja imeorodheshwa hapa chini.
Table of Contents
Urambazaji
Amri | Mkato |
---|---|
Nyuma | Alt + ← Backspacecommand + ← command + [ DeleteAlt + ← Ctrl + [ |
Mbele | Alt + → Shift + Backspacecommand + → command + ] Shift + DeleteAlt + → Ctrl + ] |
Nyumbani | Alt + Homeoption + home |
Fungua Faili | Ctrl + Ocommand + O |
Pakia tena | F5 Ctrl + Rcommand + R |
Pakia tena (puuza kache) | Ctrl + F5 Ctrl + Shift + Rcommand + shift + R |
Komesha | Esc command + . |
Ukurasa wa sasa
Amri | Mkaro |
---|---|
Nenda chini ukurasa moja | Page Downfn + ↓ |
Nenda juu ukurasa moja | Page Upfn + ↑ |
Nenda chini ya ukurasa | End command + ↓ |
Nenda juu ya ukurasa | Home command + ↑ |
Songa hadi fremu nyingine | F6 |
Rudi hadi fremu ya awali | Shift + F6 |
Kuchapisha | Ctrl + Pcommand + P |
Hifadhi ukurasa kama | Ctrl + Scommand + S |
Zoom In | Ctrl + +command + + |
Zoom Out | Ctrl + -command + - |
Zoom Reset | Ctrl + 0command + 0 |
Uhariri
Amri | Mkati |
---|---|
Nakala | Ctrl + Ccommand + C |
Kata | Ctrl + Xcommand + X |
Futa | Deldelete |
Kuweka | Ctrl + Vcommand + V |
Kuweka (kama nakala wazi) | Ctrl + Shift + Vcommand + shift + V |
Fanya tena | Ctrl + Ycommand + shift + ZCtrl + Shift + Z |
Chagua Yote | Ctrl + Acommand + A |
Tendua | Ctrl + Zcommand + Z |
Utafutaji
Amri | Mkato | |
---|---|---|
Tafuta | Ctrl + Fcommand + F | |
Tafuta Tena | F3 Ctrl + Gcommand + G | |
Tafuta ya awali | Shift + F3 Ctrl + Shift + Gcommand + shift + G | |
Tafuta haraka ndani ya kiungo-maandishi tu | ' | |
Tafuta haraka | / | |
Kwa haraka, funga baa ya utafutaji | Esc | - wakati baa ya utafutaji imelengwa |
Lenga baa ya utafutaji | Ctrl + Kcommand + K Ctrl + ECtrl + Jcommand + option + F | |
Kwa haraka kubadili kati ya injini ya utafutaji | Ctrl + ↑ Ctrl + ↓command + ↑ command + ↓ | - wakati baa ya utafutaji imelengwa |
Tazama menyu switch, kuongeza au kusimamia injini ya utafutaji
| Alt + ↑ Alt + ↓ F4option + ↑ option + ↓ | - wakati baa ya utafutaji imelengwa |
Windows na Tabo
Amri | Mkato | |
---|---|---|
Funga Tabo | Ctrl + W Ctrl + F4command + W | - isipokuwa kwa Tabo za programu |
Funga Window | Ctrl + Shift + W Alt + F4command + shift + W | |
Hamisha Tabo katika mtazamo kushoto | Ctrl + ← Ctrl + ↑command + ← command + ↑Ctrl + Shift + Page Up | |
Hamisha Tabo katika mtazamo kulia | Ctrl + → Ctrl + ↓command + → command + ↓Ctrl + Shift + Page Down | |
Hamisha Tabo katika mtazamo mwanzo | Ctrl + Homecommand + home | |
Hamisha Tabo katika mtazamo mwisho | Ctrl + Endcommand + end | |
Mute/Unmute Audio | Ctrl + M | |
Tabo Mpya | Ctrl + Tcommand + T | |
Dirisha Mpya | Ctrl + Ncommand + N | |
Dirisha Jipya la binafsi | Ctrl + Shift + Pcommand + shift + P | |
Tabo ijayo | Ctrl + Tab Ctrl + Page Downcontrol + tab control + page down command + option + → | |
Funga anwani katika tabo mpya | Alt + Enteroption + return | - kutuka baa ya eneo na utafutaji |
Tabo ya awali | Ctrl + Shift + Tab Ctrl + Page Upcontrol + shift + tab control + page up command + option + ← | |
Tendua kufunga tabo | Ctrl + Shift + Tcommand + shift + T | |
Tendua kufunga Dirisha | Ctrl + Shift + Ncommand + shift + N | |
Chagua Tabo 1 hadi 8 | Ctrl + 1to8command + 1to8Alt + 1to8 | |
Chagua tabo ya mwisho | Ctrl + 9command + 9Alt + 9 | |
Mtazamo wa vikundi vya tabo | Ctrl + Shift + Ecommand + shift + E | |
Funga Mtazamo wa vikundi vya tabo | Esc | |
Kundi la tabo ijayo | Ctrl + `control + ` | - only for some keyboard layouts |
Kundi la tabo iliyopita | Ctrl + Shift + `control + shift + ` | - only for some keyboard layouts |
Historia
Amri | Mkato |
---|---|
Sidebar ya historia | Ctrl + Hcommand + shift + H |
Dirisha la maktaba (History) | Ctrl + Shift + H |
Clear Recent History | Ctrl + Shift + Delcommand + shift + delete |
Maalamisho
Amri | Mkato |
---|---|
Alamisha tabo zote | Ctrl + Shift + Dcommand + shift + D |
Alamisha ukurasa huu | Ctrl + Dcommand + D |
Bookmarks sidebar | Ctrl + B Ctrl + Icommand + BCtrl + B |
Dirisha la maktaba (Maalamisho) | Ctrl + Shift + Bcommand + shift + BCtrl + Shift + O |
Zana
Amri | Mkato |
---|---|
Downloads | Ctrl + JCtrl + Shift + Ycommand + J |
Add-ons | Ctrl + Shift + Acommand + shift + A |
Toggle Developer Tools | F12 Ctrl + Shift + Icommand + alt + I |
Web Console | Ctrl + Shift + Kcommand + alt + K |
Inspector | Ctrl + Shift + Ccommand + alt + C |
Debugger | Ctrl + Shift + Scommand + alt + S |
Style Editor | Shift + F7 |
Profiler | Shift + F5 |
Network | Ctrl + Shift + Qcommand + alt + Q |
Developer Toolbar | Shift + F2 |
Responsive Design View | Ctrl + Shift + Mcommand + alt + M |
Scratchpad | Shift + F4 |
Chanzo cha ukurasa | Ctrl + Ucommand + U |
Error ConsoleBrowser Console | Ctrl + Shift + Jcommand + shift + J |
Page Info | command + ICtrl + I |
Mtazamo wa PDF
Amri | Mkato |
---|---|
Ukurasa ijayo | N or J or → |
Ukurasa iliyopita | P or K or ← |
Kuza zaidi | Ctrl + +command + + |
Kuvuta nje | Ctrl + -command + - |
Mvuto wa moja kwa moja | Ctrl + 0command + 0 |
Zungusha hati mbele | R |
Zungusha hati nyuma | Shift + R |
Badili hadi kwenye modi ya Uwasilishaji | Ctrl + Alt + Pcommand + Alt + P |
Geuza chombo cha mkono | H |
Kuzingatia nambari ya Ukurasa sanduku la pembejeo | Ctrl + Alt + Gcommand + Alt + G |
Zinginezo
Amri | mkato |
---|---|
Malizia anwani ya .com | Ctrl + Entercommand + return |
Malizia anwani ya .net | Shift + Entershift + return |
Malizia anwani ya .org | Ctrl + Shift + Entercommand + shift + return |
Futa Kamilika otomatiki zilizochaguliwa | Delshift + delete |
Kugeuza skrini Kamili | command+Shift+FF11 |
Toggle Menu Bar activation (showing it temporarily when hidden) | Alt or F10Alt (KDE) or F10 (GNOME) |
Kuonyesha / Ficha baa ya add-ons | Ctrl + /command + / |
Caret Browsing | F7 |
chagua baa la eneo | F6 Alt + D Ctrl + Lcommand + L |
Mikato za media
Amri | mkato |
---|---|
Kugeuza Kucheza / Kusitisha mziki | Space bar |
Punguza sauti | ↓ |
Ongeza sauti | ↑ |
Toa Sauti | Ctrl + ↓command + ↓ |
Rudi sauti | Ctrl + ↑command + ↑ |
Rudi nyuma sekunde 15 | ← |
Rudi nyuma 10 % | Ctrl + ←command + ← |
Nenda mbele 15 seconds | → |
Nenda mbele 10 % | Ctrl + →command + → |
Nenda mwazno | Home |
Nenda mwisho | End |
Njia za mkato za Wasanidi
naweza pia kutumia mikato ya kibodi na zana za wasanidi katika Firefox. Angalia Keyboard shortcuts page kwenya Mozilla Developer Network.