Ingawa Firefox inakuwezesha kuweka injini yako ya utafutaji ya msingi, hulka yake ya utafuta wa haraka pia inakuwezesha kubadili kati ya injini mbalimbali kwenye orodha yako kama unapojivinjari.
Lemaza injini ya utafutaji ambayo huna haja au kuwezesha ikiwa utabadili mawazo yako. Hii hapa jinsi ya kufanya hivyo:
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)
'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
- Bomba katika skirini ya Firefox Settings.
- Bomba kubadili dhidi ya kila moja ya injini ya utafutaji kulemaza au kwa .
Injini yako ya utafutaji itaonekana chini ya skirini wakati wa utafutaji.