Itikio la Likizo (pia inajulikana kama "majibu ya nje ya ofisi" au "ujumbe mbali") ni ujumbe wa moja kwa moja ambayo yanayotokana na seva ya barua pepe katika kukabiliana na ujumbe zinazoingia. Inatumiwa kuwajulisha watu wanao kutumia wewe barua pepe kwamba haupatikani.
Table of Contents
Historia
Thunderbird haina njia rahisi ya kuwasiliana na seva ya barua pepe kwamba seva lazima itatoa mwitikio wa likizo. Kuna protokali kwa ajili ya hii, lakini kwa bahati mbaya haijawahi kupitishwa na wengi wa watoa pepe, na kama ambavyo ujumla wanalenga kwenye mtandao pepe, kuna uwezekano mdogo wa mabadiliko mengi.
Pendekezo moja ambayo mara nyingi hufanywa ni kujenga chujio za Ujumbe na kujibu ujumbe wote zinazoingia na kigezo. Ufumbuzi Hii inahitaji kifaa yako iwe imewashwa na Thunderbird ikiendelea wakati wote utakapokua mbali. Kama vile hii ina masuala yake kuhusiana na usalama na ulinzi, ni haifai.
Tumia kiolesura cha mtoa hudumu wako
Watoa huduma wengi hupeana kiolesura ambayo inaweza kutumika kusanidi itikio la likizo, na kwa kutumuia njia rahisi. Hapa chini ni viungo vya viitiko vya likizo kwa ajili ya baadhi ya watoa barua pepe wa kawaida.
AOL
Angalia makala ya msaada ya AOL inayoitwa: Sanidi ujumbe wa mbali katika AOL WebMail.
Comcast
http://customer.comcast.com/help-and-support/internet/xfinity-connect-advanced-features
Charter
http://www.myaccount.charter.com/customers/support.aspx?SupportArticleID=1154#Vacation%20Message
Fastmail.fm
http://www.fastmail.fm/help/managing_email_vacation_message_auto-reply.html
Gmail
https://mail.google.com/mail/?shva=1#settings
Hotmail/Live
http://www.windowslivehelp.com/solution.aspx?solutionid=ab36f2fd-92ca-465a-9df4-10e36a57a2bc
GMX
There is a simple tutorial about the auto-responder on GMX's Facebook page.
Runbox
https://support.runbox.com/index.php?_m=knowledgebase&_a=viewarticle&kbarticleid=34&nav=0,4
RoadRunner
http://support.brighthouse.com/Article/Vacation-Automatic-Reply-Message-1988/?searchid=266929&pos=2 http://support.brighthouse.com/Article/Return-Vacation-Cancel-Automatic-Reply-2550/
Yahoo
http://help.yahoo.com/l/us/yahoo/mail/ymail/basics/basics-52.html