Baadhi ya tovuti hutumia Adobe Flash kuonyesha maudhui. Hata hivyo, washambuliaji wanaweza pia kutumia dosari la usalama katika Flash kuendesha sofware hatarishi kwenye kompyuta yako na kupata huduma kwa mfumo wako.
Njia moja ya kujikinga ni kwa kulemaza au kutoa Flash, lakini kama tovuti yako ya kuaminika itahitaji Flash, unaweza kubadilisha mazingira yako Plugin ili Flash itaendeshwa tu unapobonyeza kuanzisha.
Hapa ni jinsi ya kuweka Flash kuendesha inapohitajika:
-
Bonyeza menyu kisha chagua
. Tabo la The Add-ons Manager litafunguka. - Katika Tabo la The Add-ons Manager, chagua paneli.
- Tafuta Shockwave Flash kwenye orodha yako. Iweke kwa
Wakati mwingine unapotembelea tovuti ambayo inahitaji Flash, bonyeza Kuamsha Adobe Flash haraka ili kuruhusu Plugin, ikiwa inahitajika *:
Unapobonyeza chaguzi na kuruhusu Plugin, maudhui zinazokosekana zitapakiwa kama kawaida. Kama haifanyi hivyo, pakia ukurasa upya (bonyeza Pakia upya kifungo katika upau wa anwani) kisha jaribu tena.