Compare Revisions

Futa historia ya kuvinjari katika Firefox kwa ajili ya iOS

Revision 102010:

Revision 102010 by buluma_michael on

Revision 103061:

Revision 103061 by buluma_michael on

Keywords:

historia
historia

Search results summary:

Kufuta maelezo yako ya kuvinjari, kama ulizopitia, habari Autofill na upendeleo tovuti.
Kufuta maelezo yako ya kuvinjari, kama ulizopitia, habari Autofill na upendeleo tovuti.

Content:

Firefox inahifadhi tovuti ambazo unaembelea katika historia yako unapojivinjari kwenye mtandao. Fuata hatua hizi ili kufuta historia yako. #[[Template:tabios]] #[[Template:settingsios]] #Katika Mipangilio ya Firefox orodha, chini ya kifungu cha faragha, bomba {menu Futa Takwimu za Binafsi}. #Katika mazungumzo ya {menu Futa Kila kitu}, bomba {button Futa} kufuta data yako yote ikiwa ni pamoja na historia na kufunga tabo zako.
[[Template:ioscoming]] Firefox inahifadhi tovuti ambazo unaembelea katika historia yako unapojivinjari kwenye mtandao. Fuata hatua hizi ili kufuta historia yako. #[[Template:tabios]] #[[Template:settingsios]] #Katika Mipangilio ya Firefox orodha, chini ya kifungu cha faragha, bomba {menu Futa Takwimu za Binafsi}. #Katika mazungumzo ya {menu Futa Kila kitu}, bomba {button Futa} kufuta data yako yote. {warning}'''Tahadhari''': Kama unafuta takwimu yako ya binafsi, kila tabo inayotumika itajifunga.{/warning}

Back to History